Society

Society

Burundi : ukosefu wa mafuta ya gari watangazwa kwa mara nyingine

Ni ukosefu wa mafuta kwa mara nyingine tena kulingana na wasafiri. Kwenye vituo vya mafuta, milolongo mirefu ya magari imeshuhudiwa jumatatu hii pasina matumaini ya kupata bidhaa hiyo. Badala yake,

Society

Gitega : watuhumiwa watano wa mapenzi ya jinsia moja wameachiwa huru kwa jumla ya wale 24 wanaozuiliwa jela

Uamzi wa kuwaachilia huru umechukuwa jumatatu hii tarehe 20 machi, amethibitisha hayo mmoja kati ya mawakili waliotetea kundi hilo. Watano hao walioachiliwa huru walikuwa katika kundi la watu 24 wanaotuhumiwa

Society

Burundi: a new fuel shortage looming

This is yet another shortage, according to different end users. On some service stations were observed this Monday, queues as far as the eye could see, without hope of being

Society

Gitega: Burundian justice frees five alleged homosexuals out of 24 in detention

Their release took place on Monday March 20, confirmed one of the lawyers assisting the group. The five former detainees are part of a group of 24 suspected homosexuals who

Economy

Goma: the oil tankers’ association goes on a strike

All gas stations are closed in the Goma town (capital of North Kivu) since Friday following a strike triggered by the North Kivu tankers association. A decision taken and communicated

Society

Goma: vyombo vya habari vingi vyanyimwa haki ya kupata habari

Vyombo vya habari vya ndani na kimataifa vinadai kubaguliwa katika kuripoti matukio yanayojiri kwa wakati huu ndani ya nchi na katika kanda. Wandishi wa habari wanapinga hali ambapo matukio yanayoweza

Security

Giheta : discovery of a body

The body of Jean Baraton Mizero, 34 years old, driver, was found on the morning of this Friday, March 17, 2023 in the Nyambeho valley, it is exactly in the

Society

Goma : several private media deprived of access to information

National and international media say they are excluded from covering facts that affect the current situation in the country and the region. Journalists protest against the fact that several activities

Politic

Burundi : chama cha CNL kiliadhimisha miaka minne kwa shangwe

Chama cha CNL kiliandaa Kongamano la kawaida kuadhimisha miaka minne ya uhai wa chama hicho tarehe 12 machi. Mbele ya ma elfu ya wafuasi pamoja na wageni wakiwemo wajumbe wa

Refugees

Mahama (Rwanda) : Bidhaa za vyakula zimepanda bei kwa kiwango kikubwa

Kwa kipindi cha angalau miezi mitano, takriban bidhaa zote mahitajio muhimu zilipanda bei mara dufu na hata mara tatu. Wakimbizi wanadai kuwa pesa wanazopewa hazitoshi kukidhi mahitaji yao hata kwa