Nakivale (Uganda) : WFP updates its data
Nakivale (Uganda) : WFP updates its data
It is a routine activity. The UN agency, after a given period, proceeds to a verification of still active refugees for the so-called adequate assistance. INFO SOS Médias Burundi According
Gitega: bei ya bidhaa za vyakula imepanda hadi mara mbili, wananchi wana wasi wasi
Wakaazi wa jiji kuu la kisiasa (kati kati mwa Burundi) wanasema kuzidiwa na kupanda kiholela kwa bei ya nafaka za vyakula. Baadhi ya bidhaa za vyakula bei imepanda takriban mara
Gitega: the price of food products goes up to double, residents are worried
Residents in the political town of Gitega (central Burundi) say they are overwhelmed by a dizzying rise in the price of food products. Most commodities on the market have nearly
Nduta: watu 10 wanaomba hifadhi wazuiliwa jela
Watu kumi wenye asili ya Burundi wanaomba hifadhi ya ukimbizi hivi karibuni walikamatwa na polisi ya Tanzania. Watu hao waliokuwa katika hifadhi ndani ya kambi ya Nduta walikuwa walirudi nchini
Kirundo: Imbonerakure auwawa na wenzake
Mwanaume wa miaka 41 aliuwawa asubuhi ya siku ya alhamisi eneo la Rwimbogo kijiji cha Rushubuje tarafa ya Ntega (Mkoa wa Kirundo kaskazini mwa Burundi). Muhanga huyo aliyekuwa Imbonerakure (Kijana
Kirundo: an Imbonerakure killed by his peers
A 41-year-old man was killed on Thursday morning on Rwimbogo hill, in the Rushubije zone in Ntega commune (Kirundo province, northern Burundi). The victim, an Imbonerakure (member of the CNDD-FDD
Beni: thirteen civilians killed by Ugandan ADF rebels
Thirteen bodies of civilians were discovered in crop fields on Wednesday in the Bashu chiefdom, Beni territory, in the province ofNorth Kivu, eastern DRC. According to local sources who provided
Nduta (Tanzania): ten Burundian asylum seekers in detention
Ten Burundian asylum seekers are under arrest in Tanzanian. Formerly living in Nduta camp, they had been repatriated before returning to exile as a result of persecution experienced in their
Burundi: a company of the CNDD-FDD party secretary general accused of unfair competition
Several producers and wholesalers complain about an unfair competition led by Eagle Mineral Water, a mineral water production company bearing the same name. The company belongs to the “Pax Burundi”
Nduta (Tanzania): ghasia kati ya polisi na wakimbizi kutoka Burundi
Tangu weekendi iliyopita, polisi imekuwa katika harakati za kuwakamata wafanyabiashara wanaoendeshea shughuli zao nyumbani. Maduka pia yanachomwa moto. Hasira ya wakimbizi ilipanda hadi kuwarushia mawe polisi. HCR ilijaribu kutuliza hali.
