Politic
Nyanza-Lac: the communal administrator and all his aids sacked
Marie Goreth Irankunda, communal administrator of Nyanza-Lac (province of Makamba, southern Burundi) as well as Prudence Kabura and Elias Ciza respectively president and vice-president of the communal council were dismissed
Mkutano wa Nairobi: serikali ya Kongo inasema ni fursa ya mwisho kwa makundi ya silaha
Mjumbe maluum wa serikali ya Kongo katika mazungumzo ya Nairobi anatahadharisha makundi ya waasi ambayo hataheshimu makubaliano ya Nairobi. Watajikuta wakitokomezwa na kikosi cha kikanda alitahadharisha Serge jumatano hii. Mpatanishi
Nairobi conclave: the Congolese government speaks of a last chance for armed groups
The Congolese government’s special envoy to the Nairobi talks warns the rebel movements that will not respect the Nairobi agreements. They will be completely eradicated by the regional force, warned
Buraza: four district leaders of the CNL party in detention
Four CNL leaders in the district of Buraza, in the province of Gitega (Central Burundi) were arrested last Saturday. They are accused of stealing sweet potatoes from a crop field.
Muyinga: residents give their contributions in the week of the war veterans, the collections end up in the individuals’ pocket
In the province of Muyinga (North-Eastern Burundi), residents say they are suffering following the presidential party’s members forcing them to give contribution in kind or in money. The funds are
Burundi: makamu wa rais anathibitisha uwepo wa uhusiano mbaya kati ya viongozi wa nchi na wandishi wa habari
Prosper Bazombanza alibaini hayo alhamisi hii kando na kongamano kuu la vyombo vya habari. Alilaani kuwa kazi ya uwandishi wa habari inakabiliwa na hali kushirikisha watu wasiokuwa na uzowefu. HABARI
Gitega: wapinzani wawili wazuiliwa jela kwa zaidi ya mwezi
Wafuasi wawili wa chama cha CNL wa tarafa ya Bugendana mkoa wa Gitega (kati kati ya Burundi) wanazuiliwa jela kwa zaidi ya mwezi mmoja. Wanatuhumiwa kumubaka na kumuuwa mwanamke mmoja.
Burundi: the vice-president acknowledges the mistrust between the public authorities and the media
Prosper Bazombanza said this Thursday on the sidelines of the Estates General on the press. He regretted that the profession of journalist is under threats of amateurism. INFO SOS Médias
Gitega: two opponents in detention for more than a month
Two members of the CNL party from the district of Bugendana in the province of Gitega (Central Burundi) have been in detention for more than a month. They are suspected
Burundi: mwanamke wa kwanza kushikilia nyadhifa ya mpatanishi
Ni Aimé Laurentine Kanyana. Waziri huyo wa zamani wa sheria ameidhinishwa alhamisi hii na wawakilishi wa mabaraza mawili ya bunge nchini Burundi. HABARI SOS Médias Burundi Aimée Laurentine Kanyana alikuwa
